Rais Samia alivyowafuturisha yatima, wenye mahitaji maalumu Ikulu
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu, Machi 3, 2025 amefuturisha watoto yatima na watoto wenye mahitaji Maalum, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Pia, Rais Samia amepata fursa ya kuzungumza na watoto hao.