PRIME Huyu ndiye fundi nguo aliyeshona vazi la Papa Leo XIV Mavazi hayo matatu meupe (kanzu) yakiendana na mengine ya hariri na dhahabu, yalikuwa tayari wakati moshi mweupe ulipotoa ishara kwamba mrithi wa Papa Francis aliyefariki dunia Aprili 21, 2025...
Charles Hillary afariki, Rais Samia, wadau wamlilia Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary, amefariki dunia alfajiri ya leo Jumapili Mei 11, 2025 jijini...
TASNIA IMEPOTEZA: Sauti ya Charles Hilary ilikuwa kama dhahabu, Rais Samia amlilia Wakati aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zanzibar, Charles Hilary akifariki dunia, wadau mbalimbali wa sekta ya habari waliowahi kufanya kazi naye wamesema kifo chake ni pigo...
PRIME Hatari teknolojia ya ChatGPT inapoaminika kuliko mzazi Hapa nafanya nazungumza na Damari, mwanafunzi wa shahada katika taasisi moja ya elimu ya juu jijini Dar es Salaam.
PRIME Wenye miaka 40 hawashauriwi kutumia njia za uzazi wa mpango Baadhi ya wanawake wamekuwa wakitumia njia za uzazi wa mpango bila kuzingatia hali zao, hivyo kujiweka kwenye hatari ya kupata magonjwa sugu.
PRIME Kivuli cha Mbowe kinavyoitesa Chadema Licha ya uamuzi wa kukaa kimya kwa aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kuhusu yanayoendelea ndani ya chama hicho, kivuli chake kimeendelea kuwa...
Balozi Makenga awataka wajasiriamali kujiongeza Wakati Serikali ikiendelea kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji nchini, taasisi zake nazo zinatoa ushirikiano kwa sekta binafsi baada ya ubalozi mdogo mjini Guangzhou nchini China pamoja...
PRIME Majura, Regina wasimulia safari yao na Charles Hilary “Alibarikiwa na kipaji kikubwa cha kutangaza, sauti yake ilikuwa na mvuto kwa kila kipindi, asingeweza kufanya kipindi iwe kwenye michezo au habari za kawaida ukashindwa kufurahia, au ukasikia...
Chadema bado bundi kaweka Kambi, wengine 80 wajitoa Safari ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kufungasha virago ndani ya chama hicho na kusaka majukwaa mengine ya kufanya siasa zao, imeungwa mkono na kundi lingine la...
Balozi Makenga awataka wajasiriamali kujiongeza Wakati Serikali ikiendelea kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji nchini, taasisi zake nazo zinatoa ushirikiano kwa sekta binafsi baada ya ubalozi mdogo mjini Guangzhou nchini China pamoja...
Simba yamaliza viporo kwa kishindo Mechi za viporo ambazo zilikuwa mezani kwa Kocha Fadlu Davids limefungwa rasmi jana Jumapili kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge jijini Dar es Salaam baada ya Simba SC kukamilisha mechi nne kwa...
Mwananchi Newsletter Sent every week with an update on the latest Africa news and analysis to keep you plugged into the region. Weekly newsletter Subscribe
Sakata la Harmonize na Ibraah lafika pabaya Sakata linalomuhusu msanii Ibraah kutaka kuchangiwa Sh1 bilioni na watu ili aondoke kwenye lebo ya Konde Gang inayomilikiwa na Harmonize limefika pabaya baada ya kuanza kutoleana maneno mabaya ya...
PRIME May Day: Siku ya Wafanyakazi isiyowahusu wastaafu! Kwa kuwa nyongeza hiyo ilitangazwa Mei Mosi – Siku ya Wafanyakazi – itawabidi wasubiri hadi mwisho wa mwezi Julai, miezi mitatu baadaye, ili kuiona nyongeza hiyo mifukoni mwao!
PRIME Wenye miaka 40 hawashauriwi kutumia njia za uzazi wa mpango Baadhi ya wanawake wamekuwa wakitumia njia za uzazi wa mpango bila kuzingatia hali zao, hivyo kujiweka kwenye hatari ya kupata magonjwa sugu.