Rais Samia alivyozindua jengo la Halmashauri ya Bumbuli
Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu, Februari 24, 2025, amezindua rasmi jengo la Halmashauri ya Bumbuli, Wilaya ya Lushoto, mkoani Tanga, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake mkoani humo. Picha na Rajabu Athumani