Harmonize akanusha kumdai Ibraah Sh1 bilioni Mwanamuziki Harmonize amekanusha kauli ya aliyekuwa msanii wake Ibraah ya kumdai kiasi cha Sh1 bilioni, ili aweze kutoka lebo ya ‘Konde Gang’.