Almasi ya Sh1.7 bilioni yakamatwa ikitoroshwa Mwanza Madini hayo yalikuwa yakitoroshwa kupitia Uwanja wa Ndege wa Mwanza.
Mnyika aibua kiini vita ndani ya Chadema, watawala watajwa Amedai kuwa Serikali imekuwa ikipinga maamuzi halali ya Baraza Kuu la Chadema lililofanyika Januari 22, 2025, ambalo liliidhinisha uteuzi wa Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu na wajumbe wa Kamati Kuu.
Traore asaini makubaliano na Tanzania tiba za moyo Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeingia katika ushirikiano rasmi na Burkina Faso kupitia kusaini hati ya makubaliano, lengo likiwa ni kuboresha na kuimarisha huduma maalum za matibabu ya...
Dk Tulia atangaza rasmi nia kugombea jimbo jipya la Uyole Dk Tulia ambaye pia ni Spika wa Bunge la Tanzania, amesema pamoja na uamuzi huo kutoa fursa kwa wengine, lakini hatawaacha wananchi wa Mbeya Mjini.
Marekani yakifungia Chuo Kikuu cha Harvard kudahili wanafunzi wa kigeni Chuo hicho kimekuwa kitovu cha elimu ya juu, tafiti za kisayansi, na maendeleo ya fikra duniani.
PRIME Sababu wananchi kujitengenezea barabara, Tarura yatoa mwongozo Jukumu kubwa la Tarura ni kusimamia matengenezo, ukarabati na ujenzi wa mtandao wa barabara za wilaya zilizokuwa zikisimamiwa na mamlaka za serikali za mitaa na kuratibiwa na Ofisi ya Rais...
Almasi ya Sh1.7 bilioni yakamatwa ikitoroshwa Mwanza Madini hayo yalikuwa yakitoroshwa kupitia Uwanja wa Ndege wa Mwanza.
Mtaala mpya wa elimu kufungua fursa mpya za ufundi kwa vijana Wakati mchakato wa kuandaa mtaala mpya wa umahiri ukiendelea, wataalamu wa elimu wamesema mtaala huo unatarajiwa kufungua fursa mpya kwa vijana kwa kuwa utawawezesha kujengwa kwa kizazi chenye...
Mgaywa atamba kuipeleka ADC Ikulu Uchaguzi Mkuu 2025 Uamuzi wa kumtangaza Mgaywa kugombea nafasi hiyo umetangazwa leo Mei 23, 2025, na Katibu Mkuu wa ADC taifa, Hamad Aziz jijini Dar es Salaam.
Almasi ya Sh1.7 bilioni yakamatwa ikitoroshwa Mwanza Madini hayo yalikuwa yakitoroshwa kupitia Uwanja wa Ndege wa Mwanza.
Napoli yatwaa ubingwa Seria A, Inter kujiuliza UCL Kocha huyo aliichukua Napoli ikiwa na hali mbaya baada ya msimu wa 2023/24 kumaliza ktika nafasi ya 10 baada ya kushindwa kutetea ubingwa wao wa 2022/23 chini ya kocha Luciano Spalletti.
Mwananchi Newsletter Sent every week with an update on the latest Africa news and analysis to keep you plugged into the region. Weekly newsletter Subscribe
Konde Gang, Ibraah wamalizana Uongozi wa lebo ya Konde Gang chini ya Meneja washeria Sandra Brown umeeleza kuwa tayari umemalizana na aliyekuwa msanii wao Ibraah na kuwa sasa yupo huru.
Watanzania wafundishwe sayansi ya data, AI kwa malengo Data ni mafuta mapya.’ Ni msemo maarufu uliotolewa na mwanahisabati Clive Humby mwaka 2006. Kama yalivyo mafuta ya petroli, yamekuwa rasilimali yenye thamani kubwa, ndivyo data imegeuka kuwa...
PRIME Hatari iliyojificha katika nguo nyekundu kwa mtoto mchanga Wataalamu wa afya za watoto wachanga wametaja hatari iliyojificha katika nguo nyekundu kwa mtoto mchanga, ambazo wanawake wengi hawaijui.